Aliyekuwa miss Kigamboni mwaka 2013, Miss Magdalena Olotu amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kwenye shindano la umtafuta Super modal wa Afrika shindano hilo linaitwa "Next Africa Supermodel Ultimate Search 2014" litakalofanyika Afrika ya Kusini. Shindano hili linawashilikisha wanamitindo mbalimbali kutoka nchi nne za Afrika.
Sasa unaweza kumpigia kura yako kwa Kulike na Kucomment kwenye picha yake iliyoko kwenye ukurasa wa facebook uitwao "Supermodel Search Africa" au bofya ili jina lake MAGDALENA OLOTU ili kumpigia kura.
WATANZANIA TUONYESHE UZALENDO KWA KUMPIGIA KURA SASA