Askari polisi waliokuwa katika doria maeneo ya mtaa wa Mabatini Songea Mjini wamenusurika kufa baada ya kurushiwa kitu kinachosemekana ni bomu la kutengenezwa kwa mkono majira ya saa 2 usiku huu mmoja akiwa ni wa kiume na mwingine akiwa ni wakike. Tarifa kamili tutawaletea endelea kufatilia
Chanzo: demasho.com
Chanzo: demasho.com