Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

BWANA ALEX NICHOLAUS THOMAS AJITOSA KUWANIA UWENYEKITI WA BAVICHA-TAIFA

$
0
0
JINA: Alex Nicholaus THOMAS
TAREHE YA KUZALIWA: Septemba 26, 1987
UMRI: 27 (kasoro mwenzi mmoja)
NINAISHI: Dodoma, Tanzania.
TAALUMA: Shahada ya kwanza ya uhasibu katika
BIASHARA ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

UZOEFU WAKE KWENYE UONGOZI
-Kiranja wa chakula MRINGA SEKONDARI
(2004-2005)
-Kiongozi wa TYCS, SEKONDARI (2004-2005)
-Rais wa Serikali ya Wanafunzi JAMHURI
SEKONDARI, Dodoma (2007)
-Mwenyekiti wa TYCS JAMHURI SEKONDARI,
Dodoma (2007-2008)
-Kiongozi wa TYCS Vikariet ya Dodoma
(2007-2008)
-Naibu Waziri wa Mikopo Chuo Kikuu cha
Dodoma, UDOM-SSH (2009-2010)
-Waziri wa Mikopo Chuo Kikuu cha Dodoma,
UDOM-SSH (2010-2011)- kwa ujasiri, uwezo na
umakini na wake ilipelekea akafukuzwa chuo kwa
muda wa mwaka na nusu tena akiwa kabakiza wiki
moja ahitimu shahada yake ya kwanza.

UZOEFU WAKE WA UONGOZI NDANI YA CHAMA (CHADEMA)
-Mjumbe wa Baraza Kuu la chama-Taifa
(2011-2014)
-Mjumbe wa Kamati Tendaji ya BAVICHA-Taifa
(2011-2014)
-Mjumbe wa Kikao cha Uongozi wa Mkoa wa
Dodoma (2011-2014)
-Mwenyekiti wa BAVICHA kata ya Chang’ombe
Dodoma (2012-2014)
-Mjumbe wa kamati ya Uongozi wa mkoa wa
Dodoma (2011-2014)
-Mjumbe wa kikao cha mashauriano cha mkoa wa
Dodoma (2011-2014)
-Mwasisi wa CHASSO Dodoma (2013 mpaka sasa)
-Mgombea wa Udiwani Kata ya Chang’ombe,
Dodoma (Uchaguzi Mdogo 2012)
- Nimeongoza kamati mbalimbali za kufanikisha
masuala mbalimbali ya chama Mkoa wa Dodoma.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>