$ 0 0 Baada ya kuvuma sana kwenye tamthilia ya Siri ya Mtungi hatimae aja na filamu yake ya “Kinyongo” produser Daudi Michael ” Duma” pia anawaambia mashabiki wake wakae tayari kununua nakala yako mapema itakapofika siku hiyo.