Kijana Machachari wa Skylight Band Hashim Donode (kushoto) akilianzisha Taratibuuuu Ijumaa iliyopita ndani ya Thai Village akipewa Sapoti na Sony Masamba. Sasa mashabiki na wapenzi wa Skylight Band kila wiki wanashindanishwa kucheza staili yao matata ya "Kikuku na washindi hupewa ofa ya kulipiwa vinywaji, kiingilio na usafiri. Mwanzo ilikuwa Ijumaa iliyopita ambapo washindi walipewa ofa hiyo pamoja na kuhudhuria show yao kali iliyopigwa ndani ya Dar Live.
Meneja her self ...Aneth Kushaba akiimba kwa hisia kali Ijumaa iliyopita.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Chezea Meneja weweeee ni kazi na furaha ya kutosha ndani ya Skyligt Band hapo akifurahia sauti yake tamuuuuu ya wapigaji vyombo wa bendi hiyo. Digna Mbepera akipiga vocal zake nzuriiiii na tamuuu kuwapa burudani mashabiki wake ndani ya Thai Village...usikose Ijumaa ya leo. Mary Lucos akitiririsha vocal kali na zenye ujazo ndani ya Thai village Ijumaa Iliyopita.
Anaitwa Tophy Bass huyu ni mpiga Bass Gitaa lakini unaambiwa Skylight Band ni chuo cha vipaji na burudani sasa akaacha gitaa lake na kuanza kupiga vocal kali pamoja na kikosi kizima cha Skylight Band.
Unaambiwa mwanaume kazii Hapo ni Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo akiimba kwa hisia kaliiii kabisaaa ndani ya Thai Village.
Kikosi Bendi matata inayosumbua kwa sasa mjini wakitoa show ya nguvu mbele ya mashabiki wao kutoka kushoto ni Hashimu Donode, Mary Lucos, Aneth Kushaba (AK 47) na Digna Mbepera.
Wanasema hivi mwanamke ni pambooo sasa hebu watazame hao Divas wa Skylight Band walivyopendeza huku wakiimba muziki mzuri na kwa raha kabisa hiyo ilikuwa Ijumaa Iliyopita ndani ya Thai Village.
Daudi Tumba akipiga Tumba zake kwa raha kabisaaaa kazi na furaha vikiwa pamoja muziki mzuri unaupata njoo leo Thai Village.
Idrisaaaa akizicharanga ipasavyooo Drums zake ili kutoa muziki mzuriii kwa mashabiki wa Skylight Band.
Mosee Kinanda akizipanga ala zake vizuriii kabisaaaa ili kuwapa raha mashabiki wake ndani ya Thai village.
Mpiga Gita la Bass wa Skylight akizimaliza nyuzi za gitaaa hilo kwa Furaha kabisaaaa,Kwa mbaliiii Aneth Kushaba akiyarudi Mangoma.
Allen Kiso mpiga Gitaaa la Solo wa Skylight Band akilicharaza Gitaa lake kwa raha kabisaaa.
Sam Mapenzi (wa kwanza Kulia) akiongoza majembe wenzake Sony Masamba (katikati) na Joniko Flower wa Mwisho kushoto kutoa Burudani ya Nguvuuuu ndani ya Thai Village.
Weweee majembe kaziniii wacha mchezo kabisaaaa.
Maiii Maiiii weeeeee Aiii Sebeneeee Sebeneeeeee.
Wazee wa Jsp wakina na Joniko Flower(katikati) pamoja na Mratibuu Rubeyaaa wakipata Ukodak wa nguvu huku wakimpa maelekezo Joniko Flower.
Unapokuwa ndani ya Thai Village na Skylight Band basi furaha kwa mashabiki huwa kama hivi ni vichekooo tuuu.
Nakwambia hiviii usikose ijumaa hii mtazame jamaa hapo yani kwa rahaaa zakeee hana shida na Mtu anacheza kwa furahaaa kabisaaa njooo ucheze muziki mzuri na Skylight Band.
Kama Kawaida Huwa Panajaaa na Kufurikaaa Thai Village sababu ni Moja Tuuu Muziki mzuriii Wa Skylight Band,Si unamuona mzungu mwenyewe kapagawa na Majembe.
Nyomiii la kutosshaaa wakifurahiiii
Sasa Hapa Mashabiki wakajipanga na Kuanza kushindana kucheza Staili ya Kikukuu.
Hapo sasaaa twende mbeleeeeee.
Mikono juu Mikono Juuu mashabiki hawa wakiendelea kushindania Ofa ya Kulipiwa vinywaji,tiketi na usafiri kwenye Show za Skylight Band.
Ana Manyoyaaaaa Huyooooo Kwioooo Kwiooo Shabiki akionysha umahiri wake kucheza staili ya kikukuuuu.
Mwanadada akapanda Jukwaani kuonyesha umahiri wake wa kucheza style ya "kikukuuuu".
Wacha weeee na mukanda ya chuma chumaaaa Safiii kabisa. dada aliwakuna Mary Lucos na Sony Masamba.
Ana Manyoyaaaa Huyoooo Kwiooo Kwiooooooo.
Jembe ni Jembe akavutiwa sana na huyu dada kwa kucheza vizuri staili ya kikukuuu na akaamua kumtunzaaa.
Kwiooo kwiooo Kwioooo Kikuuuu Huyoooooo Ana manyoyaaa huyooooo,Na mwanadada huyu akaibuka mshindi kwa wiki iliyopita na kupewa ofa ya usafiri bure,vinywaji bureee na kiingilio.
Mashabiki wakachezeshwa kidogoooo na mduraaaa,si unaona hapo wa nyuma nyumaa na wa mbele mbeleeeeeee..!
Ni Furahaaa kwa kila mmojaaaa ndani ya Thai Village Usikoseeee Leo Unawezaa ukawa wewe ndiye mshindi.