$ 0 0 Mkazi wa Mbagala akiwa kajibanza nyuma ya DCM lililokuwa likielekea Mbagala Rangi Tatu kama alivyonaswa na kamera yetu jana usiku.