Gari aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na daladala yaKawe na Ubungo na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 14 katika eneo la Makongo Sekondari jijini Dar.
Maiti bado zipo eneo la tukio, habari zaidi zitakujia hivi punde.↧
BREAKING NEWS: AJALI YATOKEA ENEO LA MAKONGO SEKONDARI IKIHUSISHA MAGARI MAWILI YA ABIRIA JIJINI DAR
↧