Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Fransic ameshare historia ya maisha yake kwa waumini aliowaelezea baadhi ya kazi alizowahi kuzifanya akiwa mwanafunzi kwaajili ya kujipatia kipato kabla ya kuwa Papa.
‘Catholic News Service’ imeripoti kuwa, kiongozi huyo wa kanisa Katoliki ametaja baadhi ya kazi alizowahi kuzifanya, alipotembelea kanisa la San Cirillo Alessandrino huko Rome, Italy Jumapili iliyopita.
Papa Francis aliwaambia wana Parokia kuwa amewahi kuwa mwalimu wa Saikolojia pamoja na Literature, pia amewahi kuwa mfanyakazi wa maabara. Lakini kazi iliyochukua attention na kuwa habari kubwa ni ile ya Papa Francis kuwahi kuwa baunsa wa nightclub ya Buenos Aires, akiwa mwanafunzi.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Papa alianza kuelezea historia ya kazi zake za nyuma baada ya mwana parokia alipomuomba papa kumuombea ndugu yake aliyekuwa anapenda baadaye kuja kuwa ‘Franciscan Friar’.
SOURCE: HUFFINGTONTON POST