Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI: MZEE AKATIKA MGUU BAADA KUGONGWA NA GALI AINA YA FUSO MKOANI KILIMANJARO

$
0
0
  MZEE huyu wa jamii ya wamasai aliyetambulika kwa jina la Tulito Mkaazi wa KIA njiapanda ya kuelekea uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airpot, alipata ajali mbaya ya kugongwa na fuso alipokuwa anavuka barabara hio ya lami ambayo barabara hiyo mara nyingi magari huenda mwendo kasi. Picha na MsikeCorner Blog
 Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka mkoni Kilimanjaro kimedai kwamba gari hilo aina ya FUSO halikusimama baada ya kumgonga mzee Tulito. Raia waliokuwa karibu na eneo la tukio hawakufanikiwa kunasa walau hata namba za gari hilo, Mzee Tulito aliwahishwa Hospitali wilayani Boma kwa matibabu zaidi.Picha na MsikeCorner Blog

ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI



Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>