Gari lenye namba za Usajili T 671 AYH likiwa limeteketea kwa moto katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi na kutelekezwa pembezoni Mwa barabara hiyo eneo la Moroco karibu na Mataa. Gari hilo ambalo kwasasa huwezi kulitambua ni aina gani ya gari limetekea lote na kupelekea kuwa kivutio kwa wapita njia wa barabara hiyo. Hapo wapita njia wakiliangalia gari hilo lililoteketea kwa moto.
Wapita Njia wakiangalia gari lililoteketea kwa moto pembezoni mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi na kutelekezwa eneo la Moroco karibu na Mataa ya kuongozea magari.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Kijana mpita Njia akilipiga picha
Mmoja wa wapita njia akilikagua gari hilo lililoteketea kwa moto mapema leo na kutelekezwa pembezo mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Moroco karibu na Mataa ya Kuongozea Magari.Picha Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog