Mwili wa marehemu Nughu Lugata ulivyokutwa.
MAREHEMU Nughu Lugata ambaye ni albino ameuawa na viungo vyake kuchukuliwa na watu wasiojulikana jana majira ya saa moja jioni huko Bariadi mkoani Simiyu
Mguu wa marehemu Nughu Lugata ukiwa umekatwa.
Nughu ameuawa kwa kukatwa mapanga na baadhi ya viungo vyake kama mguu wa kushoto na vidole vitatu kuchukuliwa na watu wasiojulikana.Marehemu alikuwa mkazi wa Gasuma akijishughulisha na kilimo.
PICHA NA GPL