Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

PICHA: JESHI LA URUSI KUONYESHA VIFAA VYA KIJESHI NI NJIA MOJAWAPO YA KUJIAMI AU KUWAOGOPESHA MAADUI WAKE?

$
0
0
Rais wa Urusi, Vladimir Putin akiwana waziri mkuu, Dmitry Medvedev pamoja na viongozi mbalimbali walipokuwa wanaadhimisha kumbukumbu ya ushindi dhidi ya wajerumani (annual Red Square parade)
Waziri wa Ulizi wa Urusi, Sergei Shoigu akikagua jeshi la nchi hiyo
Katika kuadhimisha kumbukumbu ya ushindi dhidi ya wajerumani (annual Red Square parade); Jeshi la Urusi lilionyesha baadhi ya zana zake za kivita kitu kilichotafsiriwa kama "mkwara" kwa Ukraine. Hili ni mojawapo ya makombora yaliyoonyeshwa kwenye gwaride hilo.

 ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI


















Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>