Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Mh. Samuel Sitta akiwa katika kikao cha Nchi cha ushauri na makatibu wakuu wa Wizara hawapo pichani leo asubuhi kujiandaa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki baadae leo.
Katibu Mkuu Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo katikati na Naibu Katibu Wizara ya Fedha Profesa Adoft F. Mkenda pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa kwanza kushoto ndugu Amatius C. Msole wakichangia ushauri leo asubuhi katika kikao cha kujiandaa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki baadae leo.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Mh. Samuel Sitta pamoja na Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Adam Malima akiwa katika kikao cha Nchi cha ushauri na makatibu wakuu wa Wizara hawapo pichani leo asubuhi kujiandaa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki baadae leo.
Wataalamu Wazara ya Fedha, Wizara ya Ushirikiano Wa Afrika Mashariki na Wizara ya Viwanda na Biashara,wakiwa katika kikao cha Nchi cha ushauri na makatibu wakuu wa Wizara hawapo pichani leo asubuhi kujiandaa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki baadae leo.
Wataalamu Wazara ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakiwa katika kikao cha Nchi cha ushauri na makatibu wakuu wa Wizara hawapo pichani leo asubuhi kujiandaa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki baadae leo.