Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

UPDATES: WAFANYAKAZI STRABAG WAGOMA

$
0
0
 Wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi ‘STRATBAG’ wakiwa katika mgomo leo asubuhi.
 WAFANYAKAZI wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi ‘STRATBAG’ iliyopo maeneo ya Ubungo jijini Dar, leo asubuhi wameingia katika mgomo wakipinga uongozi wa kampuni hiyo kuwalipa mishahara midogo wafanyakazi wake na kuondolewa posho zao za wiki na mwisho kabisa wakipinga suala la kutopewa ajira kwa vibarua waliofanya kazi kwa muda mrefu katika kampuni hiyo.
 ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Kamera yetu ilifika eneo la tukio na kuwamulika wafanyakazi wakiwa wamekaa bila kujishughulisha na kitu chochote wakisubiri muafaka kutoka kwa viongozi wao ambao hadi mwandishi wetu anaondoka eneo la tukio hakukuwa na muafaka wowote uliofikiwa baina ya mabosi wa kampuni hiyo na wafanyakazi.


PICHA NA GPL

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>