Maji yakiwa yamejaa
Mto ukiwa umejaa
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Nyumba ikiwa imezingilwa na maji
Baadhi ya watu wakiwa wamekumbwa na Mafuriko Njiani
Vibanda vikiwa vimejaaa maji
Karavati likiwa limezingilwa na Maji
Maji yakiwa yanaongezeka maeneo mbalimbali
Mazao yakiwa yamekumbwa na maji
Picha na Morogoro yetu Blog