Maji yakiwa yamejaa katika eneo la Posta Mpya, Dar es Salaam jana kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini hapa.
Maji ya mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam yakiwa yamejaa kwenye barabara inayojengwa kwa ajili ya mabasi yaendayo kasi eneo la Akiba.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mkazi wa eneo la Davis Corner, Tandika jijini Dar es Salaam akisaidiwa kuvuka maji yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha jijini