Mr. Shingo Kirihata (a.k.a. Mr. Goh), Managing Director wa Enhance Auto - Japan akizungumza jambo kwenye sherehe ya kumkabidhi mshindi wa shindano la mtandaoni
Ms. Nanae Kitta (a.k.a Nana) wa pili kutoka kushoto akizungumza jambo kwenye sherehe hiyo, wa kwanza kutoka kushoto ni Yuki Kashiwagi (Yuki) ambaye ni manager wa EnhanceAuto nchini Kenya, wa tatu kutoka kulia ni Mr. Aatif Butt, Managing Director, Enhance Auto - Tanzania na wakanza kulia ni Mr. Shingo Kirihata (a.k.a. Mr. Goh), Managing Director wa Enhance Auto - Japan
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Pendo Gondwe, Public Relations Manager, Tanzania Investment Center akisoma historia Enhance Auto kwa ufupi kwenye sherehe ya kumkabidhi zawadi shindi wao aliyeshinda kupitia mtandaoni.
Pendo Gondwe, Public Relations Manager, Tanzania Investment Center(kushoto) pamoja na Shingo Kirihata (a.k.a. Mr. Goh), Managing Director wa Enhance Auto - Japan wakiwa wameshika mfano wa ufunguo wa gari aina ya Noah ili kumkabidhi zawadi mshindi baada ya kushinda kupitia mtandaoni.
Pendo Gondwe, Public Relations Manager, Tanzania Investment Center(kushoto) pamoja na Shingo Kirihata (a.k.a. Mr. Goh), Managing Director wa Enhance Auto - Japan wakimkabidhi mfano wa funguo Mama Kashonda kwa niaba ya mshindi wa gari aina ya Noah kutoka kwenye kampuni ya kuuza magari ya Enhance Auto
Mama Kashonda akiwasha gari alilopewa zawadi, mama huyu alipokea kwa niaba ya mshindi ambaye alipatwa na tatizo akashindwa kufika kuchukua zawadi yake
Mwongozaji wa tukio zima akizungumza jambo
Baadhi ya wadau waliofika kwenye sherehe hii
Makusaro Tesha - Media consultant - Enhance Auto(wa kwanza kushoto) akisalimiana na mama Kashonda pamoja na Pendo Gondwe, Public Relations Manager, Tanzania Investment Cente
Wadau wakifuatilia zoezi hili kwa umakini