Chumba cha blog hii kimearifiwa na kutumiwa picha za tukio la ajali eneo la Mikese na Mdau Martin Mnyenyelwa,lakini hakutufahamisha kuhusiana na athari ya ajali hiyo akiwa kama shuhuda wa tukio hilo. Kulingana na tukio ya taarifa hii kuwa nyembamba,basi tuvute subira tutajuzana kadiri ya zitakavyokuwa zikiiingia kwenye chumba chetu cha habari
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
CHANZO : MICHUZI BLOG