Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

BREAKING NEWS::BUNGE LIMEHAIRISHWA MUDA HUU BAADA YA MTAFARUKU KUTOKEA KWENYE BUNGE LA KATIBA

$
0
0

Mwenyekiti wa Bunge la Katiba Mh Sammuel Sitta amehairisha bunge baada ya kutokea kutoelewana kwa wajumbe na wabunge wa bunge la katiba.Chanzo cha mtafaruku huo ni baada ya Wajumbe na Baadhi ya wabunge wa upinzani kupinga Jaji warioba asiwasilishe rasimu ya katiba leo mpaka Rais ahutubie Bunge hilo kwanza.Mwenyekiti wa Bunge akaruhusu Jaji Warioba aendeleee na Uwasilishaji lakini wabunge wakaanza kujibizana na kupiga makofi na meza za bunge.Baadhi ya wajumbe wametoka nje na wengine wamebaki ndani huku wakiwa wamesimama.




Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>