Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Baadhi ya wahadhili wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ambao pia ni walimu wa Dini ya kiislamu wakiwa katika sherehe za maulid zilizofanyika jana katika viwanja vya msikiti wa Taqwa zilizopo Area A Dodoma.
Baadhi ya wazee wa Dini ya Kiislamu wakiwa mezaa kuu wakati wa maadhimisho hayo ya kuzaliwa kwa mtume SW.
Mwalimu wa Dini ya Kiislamu akihutubia jambo kenye mahadhara huo
Mwalimu wa Dini hiyo akizungumza katika kumbukumbu hizo za maulid
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakishiriki kikamilifu matukio mbalimbali ya Ibada na Swala katika kumbukumbu hizo za kuzili mtume Mohamad maarufu kama Maulid.PICHA NA JOHN BANDA