Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing index pages (16481 articles)
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAAGIZA NBAA KUHARAKISHA MABORESHO YA MITAALA KUKIDHI KASI YA...

Serikali imeitaka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) kuharakisha maboresho ya mitaala na mafunzo ya Uhasibu ili yaendane na kasi ya maendeleo ya teknolojia, hususan...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NBAA YAENDESHA WARSHA YA IPSAS MOROGORO

Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), Septemba 8, 2026, imeendesha Warsha ya Mafunzo kuhusu Uandaaji wa Hesabu kwa kuzingatia Viwango vya Kimataifa vya Uhasibu kwa Sekta ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA BLOGGERS NETWORK (TBN) NA PSSSF WAJENGA USHIRIKIANO MKAKATI WA...

Dar es SalaamKatika kile kinachoelezwa kuwa ni hatua madhubuti ya kupanua wigo wa utoaji wa elimu kwa umma, timu ya maofisa wa juu kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA UCHUKUZI ATEMBELEA TCAA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Mhe. Abdallah Mitawi, ametembelea Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kwa lengo la kufahamu kwa kina majukumu ya Mamlaka pamoja na utekelezaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA TAFICO YARIDHISHWA KUKAMILIKA KWA BANDARI YA UVUVI KILWA MASOKO

Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO), imefanya ziara ya ukaguzi katika mradi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko, kwa lengo la kujionea hatua ya utekelezaji wa mradi, kukagua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NBAA YAIMARISHA UWEZO WA WAKUFUNZI WA VITUO VYA KUFUNDISHIA WATAHINIWA

Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendesha warsha kwa njia ya mtandao sambamba na mafunzo ya ana kwa ana kwa wakufunzi wa vituo vya kufundishia wanafunzi wanaotarajia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NBAA YAWAPIGA MSASA WANAOTARAJIA KUFANYA MITIHANI YA BODI

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Siasa Mzenzi, amefungua warsha ya siku moja inayowakutanisha wanafunzi wanaotarajia kufanya mitihani ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAFICO INAKWENDA KUWA INJINI YA UCHUMI WA BULUU - DKT. KIULA

Shirika la uvuvi Tanzania (TAFICO) limeelezea dhamira ya kuwa injini na nyenzo ya kimkakati katika utekelezaji wa Dira 2050, hususani kujenga uchumi wa buluu, kujenga ajira, kuleta mapato ya fedha za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

"TAFICO NI MTOTO WETU"—KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imesema ina wajibu wa kuhakikisha Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) linaendelea kuimarika na kufikia malengo yaliyokusudiwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AITAKA TAFICO ISONGE MBELE KUTIMIZA DHAMIRA YA SERIKALI KATIKA...

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, amelielekeza Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) kuendelea kusonga mbele katika kutekeleza dhamira ya Serikali ya kubadilisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NBAA YAENDELEA KUTOA HUDUMA ZA KITAALUMA MAONESHO YA NANENANE 2026

Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea kusogeza huduma zake karibu na wananchi kwa kushiriki Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo (Nanenane) 2026 yanayoendelea katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NBAA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA TAALUMA YA UHASIBU KWA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU...

Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea kutoa elimu na mafunzo kwa vyuo vikuu pamoja na shule za sekondari ikiwa na lengo la kuwajengea ufahamu kuhusu shughuli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI DKT. BASHIRU AIAGIZA BODI MPYA YA TAFICO KUIGEUZA TAFICO KUWA INJINI...

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ameitaka Bodi mpya ya pili ya Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) kuhakikisha uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali katika sekta ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MTENDAJI WA NBAA ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA

MKURUGENZI MTENDAJI WA NBAA ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABAMkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Siasa Issa Mzenzi akizungumza na watumishi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ecobank Tanzania Yatoa Elimu ya Huduma za Kifedha Maonesho ya Sabasaba

Ecobank Tanzania imeendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu huduma mbalimbali za kifedha kupitia ushiriki wake katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI MBALIMBALI WATEMBELEA BANDA LA NBAA MAONESHO YA SABASABA

Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (kushoto), akisikiliza maelezo kutoka kwa mfanyakazi wa NBAA alipotembelea banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA MSUMBIJI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU

Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mheshimiwa Daniel Francisco Chapo amewasili nchini kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu, kuanzia Julai 2 -4 , 2026.Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NBAA YASHIRIKI MAONESHO YA 50 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA SABASABA 2026

Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) inashiriki Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 50 yanayoendelea kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam, ikiwa ni jitihada za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCAA Yavutia Viongozi wa Serikali Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara akisaini kitabu katika banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kwenye maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCAA Yashiriki Wiki ya Utumishi wa Umma kwa Kutoa Elimu ya Usafiri wa Anga

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imeungana na Taasisi mbalimbali za umma kushiriki katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika viwanja vya Chinangali Park, jijini...

View Article
Browsing index pages (16481 articles)


Latest Images